sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Pupil yupo wapiHahahaa... Huyo jamaa amezidi kuharibu, inanibidi nishike nafasi ya Ma mkubwa Ngaliba Faiza.
Pupil yupo wapiHahahaa... Huyo jamaa amezidi kuharibu, inanibidi nishike nafasi ya Ma mkubwa Ngaliba Faiza.
Haya mambo sio mazuri kabisaaa, bora yakupitie kushoto shem anguAhaaa.... Kumbee.
Ujue haya mambo sie yalipita kushoto.
Ameachwa kwenye mataa.Kwani shem Linamo hayupo hadi una lalama baridi?
Kwahiyo watazifanyaje sasa?hazizimwi bhana anakutishj huyo, ilimradi kama umehakikisha sio fake na wala hukuiflash

Namuonea huruma huyu bwana mdogo anaweza akajinyonga.Linamo bado hajaibiwa na Youngblood???
Mkuu hauna sababu ya kuona hururmaa....Namuonea huruma huyu bwana mdogo anaweza akajinyonga.
Dakika 20 kwenye football ni nyingi sana mkuuWashatangaza ubingwa
![]()
![]()
![]()
.........
YapUmewaonjaaa daah

Kwahiyo brother unanishauri nifanye yale mambo yangu ama vipi.!!Namuonea huruma huyu bwana mdogo anaweza akajinyonga.


Hee...!!zile tecno ambazo ukiwasha zinaandika jina jingine wana control+A then Enter kazi inakuwa imeisha
Kumbee!
Weweee nani kakuruhusu. Utakamatwa ugoni wewe.Kwahiyo brother unanishauri nifanye yale mambo yangu ama vipi.!!![]()
Hapana sio kweli. Huyu kijana anajidanganya tu hana lolote.Linamo bado hajaibiwa na Youngblood???
Mkuu tumia fursaaaaa.....Kwahiyo brother unanishauri nifanye yale mambo yangu ama vipi.!!![]()
Ugoni. Ndo nnWeweee nani kakuruhusu. Utakamatwa ugoni wewe.
Brother mimi kwetu nimeaga.Weweee nani kakuruhusu. Utakamatwa ugoni wewe.
Ha ahaaaa......Hapana sio kweli. Huyu kijana anajidanganya tu hana lolote.