Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
Sipendi kuwaudhi nyie wawili
Hahahaha
Tukusamehe kwa nn sasa
Hahahaha
Tukusamehe kwa nn sasa
Nenda mwenyewe tuu jamaniNimealikwa na huyu mzee kwenda porini sijui pori gani jamani uko ndio ukifika chakula ni matunda tu
We mzee acha uongo ujue niko na file lako
We mzee wa Shunie vipiMmmh
WalaaaaHahahaha unahitaji kuja porini?
Ila nakuja na dada angu Sakayo
Aliyekwambia umetuudhi nani eti we mzeeSipendi kuwaudhi nyie wawili
Hapana bwana
Woyooooooo...Huwezi kuwa na file langu,aliyekupa muongo ,na km kakupa langu ,basi jua huyo ni 'double agent' na file lako ninalo unakumbuka picha ile ?
@sakayo njoo usome hapaHuwezi kuwa na file langu,aliyekupa muongo ,na km kakupa langu ,basi jua huyo ni 'double agent' na file lako ninalo unakumbuka picha ile ?




Mie sikujiiiiHahahaha, nitafurahi sana
Nyama tuPorini ni matunda,nyama porini ,unataka nn
Hahaahhahaa
Hahaha hahaha hahaha@sakayo njoo usome hapa![]()
Hahahhaha unakumbuka ile siku tulivyoongea kuhusu hii issueWoyooooooo...
Namuona msaliti hapaaa akitajwaaaa
Hutaki kuja poriniWe mzee wa Shunie vipi
Asante we mzeeNapenda muwe na furaha muda wote,no block hapa
Walaaaa
Sasa hivi ni yeye kweli itakuwaHahaha hahaha hahaha
Huyo mtu ni mnafikiiiii... Ndo maana sipendi watu wa jf mimi
Aliyekwambia umetuudhi nani eti we mzee