Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwako wewe sijiweziiiiiiii [emoji847][emoji847][emoji847]
Nishapitia mengi hadi nusu nijipige kitanzi nikachoropoka
Acha nikwambie siri ya moyo wangu
Nifikishe mpaka juu mawinguni [emoji847][emoji847]
Babe nipe mm tu vilivyo uvunguni [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ifunanya ifunanya [emoji847]
Kama koloni sina
Japo nizikwe na ww [emoji8][emoji8][emoji8]
Acha nikwambie tu siri ya moyo wangu [emoji182][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Hata nikificha mboni zitaniumbua
Babe na hili baridi nipo nakumbatia mito tu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] nakumiss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utajua tu leo

Ona tunavyokuja kumpa saport ankoo wetuView attachment 1062760
Kama koroni sina hata moyoni sina
zaidi ya wewe
Chaguo lingine sina
Ndio maana nakufata nizikwe na wewe [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ifunanya
Ifunanya
Ifunanya
Ifunanya
Nishapitia mengi hadi nusu nijipige kitanzi nkachoropoka

Hile kutapa tapa kama mufa maji nkakorofoka

Nikawa na chembe ya ukicha aah
Mikasa ya mapenzi inakorokocha
Simanzi kutwa kuccha sijiwezii
Haya mambo haya chaaa [emoji119][emoji137]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishapitia mengi hadi nusu nijipige kitanzi nikachoropoka
Acha nikwambie siri ya moyo wangu
Nifikishe mpaka juu mawinguni [emoji847][emoji847]
Babe nipe mm tu vilivyo uvunguni [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Shangazi ulikula nini hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naona kama unataka kwenda kwa P.funk majani [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…