Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Ewaaaa kumbe unakumbuka...jana nilikuwa na bando nusu, ila nakumbuka kwa kina kuwa ni songi la Gozbert ndo ulitaka kulisikiza. Umeamini kuwa kichwa changu chapo kina ulalaza kina kumbukumbu kama saa





