Makapuku Forum

Makapuku Forum

Babe nipe mm tu vilivyo uvunguni [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nifikishe mpaka juu mawinguni [emoji847][emoji847]
Acha nikwambie siri ya moyo wangu
Nishapitia mengi hadi nusu nijipige kitanzi nikachoropoka
Kwako wewe sijiweziiiiiiii [emoji847][emoji847][emoji847]
Aah acha nitulie kusikiliza mistari , mie wewe hata ukizeeka niko na wewe

Milimani lzm niende

MTC | 101| [emoji769]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe mzee si kuna wanaokupenda humu jf inakuwaje kwangu tu ambaye sikutaki
Bana wee Mungu huyu, ila JF hkn anayenipenda, ila upo ninayekupenda ambae ni wewe Shunie, na yupo asiyenipenda ambaye ni wewe huyo huyo Shunie

MTC | 101| [emoji769]
 
Back
Top Bottom