Makapuku Forum

Makapuku Forum

...wewe si uko zako Congo, sijui Kasavubu, tafuta dawa ya kupendwa, sio unakaaakaa na mvi kwenye ndevu kama mpiga adhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi binamu umefufukia wapi lakini[emoji847][emoji847]

...yaani acha tu yaani ufufuo wangu sio ule wa siku ya tatu akafufuka, wangu ni ule siku ya mwisho wa mwezi akalipwa hela zake za korosho na sasa anasubiri ujio wa hela alizouza kangomba zije aanze kufaidi matunda na wote waliomkiza na kumuamini watakula mema ya nchi kwa hela zao wenyewe
 
Usisahau fursana binamu
 
Back
Top Bottom