Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Familia naitaka hilo jina nimekuachia ww antimary
Familia naitaka hilo jina nimekuachia ww antimary
Ndiwooooo
Hahaha hahaha hahahaEbu sema bwana Dada akee na mama
Hahhahaha
Hahaha hahaha hahaha
Najua unachocheka
R.I.PKwa wale wakongwe na wapenzi wa Bakulutu, mamiziki ya Kongo basi tumeondokewa na gwiji wa muziki Simaro Lutumba mwishoni mwa March 2019. Maarufu kama 'mshairi- a poet kwa utunzi wake ulioupa chart za juu band ya TP. OK Jazz na hata alipoachana nayo akaanzisha band yake ya Bana Ok akichukua wanamuzi wengi waliokuwa na TP Ok chini ya Luambo.
Pumzika Simaro- wapenzi wa Jazz ya taratibu tutakukumbuka kwa utunzi mzuri wa mashairi ulionogeshwa na sauti za Carlyto Lassa, Mangwana, Michel Boyimanda, Papa Wemba na Mbillia Bel.
Burudika, maisha ni haya haya




Sina namna ati,nna shida nazo hizo milioniHahhahaha
Sababu umeona mamilion eeenh
Salama Mr burudani.?Kwa wale wakongwe na wapenzi wa Bakulutu, mamiziki ya Kongo basi tumeondokewa na gwiji wa muziki Simaro Lutumba mwishoni mwa March 2019. Maarufu kama 'mshairi- a poet kwa utunzi wake ulioupa chart za juu band ya TP. OK Jazz na hata alipoachana nayo akaanzisha band yake ya Bana Ok akichukua wanamuzi wengi waliokuwa na TP Ok chini ya Luambo.
Pumzika Simaro- wapenzi wa Jazz ya taratibu tutakukumbuka kwa utunzi mzuri wa mashairi ulionogeshwa na sauti za Carlyto Lassa, Mangwana, Michel Boyimanda, Papa Wemba na Mbillia Bel.
Burudika, maisha ni haya haya
Eti mzee wa iPhone Lee kuna ukweli hapa mbona mm natumia androidView attachment 1061745






huu haupo mbona tunapendana wewe iphone mm itel
Binamuu...salama sana mdau, uko vizuri najiaminisha maana asubuhi tayari. Shukrani kunijulia khali bila shikamoo
Binamuu