Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Ndiooo jirani,[emoji23][emoji23][emoji23] umetokea wapi jirani hahaJirani hako katoto ulikokaweka ndo wale wawili wako [emoji3][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiooo jirani,[emoji23][emoji23][emoji23] umetokea wapi jirani hahaJirani hako katoto ulikokaweka ndo wale wawili wako [emoji3][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha aisee binamu...hapo hata kitambi hakionekani, sijui kwanini nikivaaga nguo nyeupe nakuwa kama padri asiyekula sadaka kupitiliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unavyopenda shanga sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...wewe si uko zako Congo, sijui Kasavubu, tafuta dawa ya kupendwa, sio unakaaakaa na mvi kwenye ndevu kama mpiga adhana
Hahahaha aisee binamu
Hahahaha aisee binamu
Sawa sawa ankoo,,Hahahaha, nazitoa basi ,nisikuudhi mtarajiwa wangu
MTC | 101| [emoji769]
Bila kusahau cheni pia[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko unafeli sasa,hutakiwi kukata tamaa
Binamu, shwari kaka. mambo yakoje kuielekea Ijumaa
Hahahaha [emoji123][emoji123]ankooSikati tamaa huyu mie ninae ,labda nife
MTC | 101| [emoji769]
Sawa sawa ankoo,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si unaona tayali katuacha kwenye mataa mapema tu
Anko huyu mutoto Mie ninae mwanzo mwisho ,lzm aje huku kutulia
MTC | 101| [emoji769]
PoleAnkoo unaanza kufeli sasa,,,support yote hii tuliokuonesha kweli,unaaga mapema ankoo,,c'moon ankoo[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]waaow kadhuri... Teh jirani wewe nimetokea kule kule kwa kila siku..Ndiooo jirani,[emoji23][emoji23][emoji23] umetokea wapi jirani haha
So ana pcha zako Huyo[emoji23][emoji23][emoji23] so ahabu kaziprint kabisa baba wa watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unanipendaje hunijui mm sikujui au ndio yale ya jf kupenda avatar fake au mwandiko wa mtu
Kama auntie yake Tumosa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaow kadhuri... Teh jirani wewe nimetokea kule kule kwa kila siku..
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama binamu,mambo yanaende namshukuru Mungu,vp huko??kwema kabsa??
Hivi binamu umefufukia wapi lakini[emoji847][emoji847]...kamba kiunoni tena, au unamaanisha shanga?