marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Hii lugha uloitumia sijui km ntaielewa kwakweli...angekutana na mtekaji kambale ndo hadi watu wa swala na maombezi wangejua. Si unajua mtekaji kambale anamtafuta kambale iwe kwenye mchanga, maji chumvi, topeni aau hata kwenye majaruba
Mkuu Obe habari za siku kiongozi
Wataje wote mkuu, usimtaje dictator mzee busara huyu huyu babu yake na juma nature, utawekwa mtu kati na watu unknown.Dikteta Blaisi Compaore wa Burkina Faso. Alimuua Rais Thomas Sankara aliyekuwa rafiki yake kipenzi na kuitawala nchi hiyo kwa mkono wa chuma
Hapo ndio angeimba haleluyaa!!...angekutana na mtekaji kambale ndo hadi watu wa swala na maombezi wangejua. Si unajua mtekaji kambale anamtafuta kambale iwe kwenye mchanga, maji chumvi, topeni aau hata kwenye majaruba
A goat doesn't want....wa Kiswahili yeye anakuwa na maneno mawili ila anayabadilibadili kukupa maana 51,000 unachagua mwenyewe uamini ili. Mfano maneno, mbuzi kagoma, au bora jana
Hahaa..😀😀😀😀😀😀...aaaah, sasa tufanye wewe ndo muongea kiingilishi, unaisemaje popo kanyea mbingu?
Unanikumbusha enzi za kwasa kwasa.Mambo ya kutomboka na kina mbanda
Hahahahaha, nipo bro najukumu huwa yabana sometimes......siwezi kulalamika kiongozi mwenzangu, habari za siku ni nzuri na leo nilikuwa na siku nzuri, sana tu. Vipi wewe lakini, ulipotea kama chenji ya mia
Huyo babu yake juma nature simjui kakaWataje wote mkuu, usimtaje dictator mzee busara huyu huyu babu yake na juma nature, utawekwa mtu kati na watu unknown.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mzee wa busara huyu huyu, huyu huyu.. Vitoto vikipotea tunavikuta chini ya mbuyu.."Huyo babu yake juma nature simjui kaka
njoo PMJe wajua inakujia na shunie shunie kibongeee
"Mzee wa busara huyu huyu, huyu huyu.. Vitoto vikipotea tunavikuta chini ya mbuyu.."
Mr padlocks himself.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakupenda pia shangaziHapana baba wawili haujanikosea mjue nawapenda mm