Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haya mambo ya kupiga piga mapicha yamenipitia kando, toka mwaka 2016 nilipopiga picha kwenye harusi ya jamaa yangu mpaka leo hii bado sijapga tena pic, insta nahangaika kusoma vya watu, facebook kabisa nimeipa kisogo.. WhatsApp dp niliyoweka toka mwaka juzi inatamba mpaka leo, watu wananisumbua nibadili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dikteta Abdel Fatah el Sisi wa Misri.
Kuanzia 2014 mpka sasa, alimuondoa madarakani rais aliyechaguliwa kidemokrasia Mohamed Mors mwaka 2014.
FB_IMG_1553882148848.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom