ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Hahaha hata sijui,ila hilo jina alikuwa analililia sana
Ndio auntmary,umesahua kuwa Lee ni mjomba wangu,au unajitoa ufahamu


Haha ni kweli mkuuHahaa, Yamekuwa km maombi waislaam kwenye mvua..
Tunashukuru shunie akee amejitokeza, kasimama, mbele ya watu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
Mmmm jirani mi simoHahaha hata sijui,ila hilo jina alikuwa analililia sana
Karibu juice ya karoti mama NahSijambo mimi baba Naa
Nakuhamu ujue
Wewe unatakiwa kwenye kwaya kesho ibada ya kwanza..Njia ya kuja huku.... Sijui alikuwa anaenda wapi!
Anafanya nini eti
Sawa baba Naa
Asante sana mwaya
Mtekaji papa yupoje huyoAlitekwa na mtekaji dagaa, angekutana na mtegaji papa basi tena tungemsahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko hapa kibonge mwenye ubonge wangu