Nzuri kabisaaa kakangu. .Hahaha
Habari ya uzima Sakayo
Nipo bidadaMm mzima moud hofu kwako
Huku salama kabsa ndugu yangu,Nzuri kabisaaa kakangu. .
Habari za huko duniani
Hahah wapo kweli,wanakusalimiaKwahiyo baba wawili unajikana
Moud usisahau kuweka na madikteta wa AfricaDictator General Mohamed Surhato-Indonesia 1967-1998View attachment 1057290
Kwani ww upo wapi etiNzuri kabisaaa kakangu. .
Habari za huko duniani
Waambie wawili wako wa kudownload salaam nimezipata nawasalimia piaHahah wapo kweli,wanakusalimia
Unachokitafuta ukipata [emoji2][emoji2]Moud usisahau kuweka na madikteta wa Africa
Waambie wawili wako wa kudownload salaam nimezipata nawasalimia pia
Baba wawili nimemkumbusha tu na waafrica wapo piaUnachokitafuta ukipata [emoji2][emoji2]
Hapana baba wawili haujanikosea mjue nawapenda mmHuu ukoo sijui ulikukosea nn
Asante sanaHuku salama kabsa ndugu yangu,
Uwe na weekend njema huko.
Niko huku TanzaniaKwani ww upo wapi eti