Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Niko huku Tanzania
Asante sana
Na wewe pia ndugu




Umeona uwepo wa kaka Bonny
Niko huku Tanzania
Asante sana
Na wewe pia ndugu




Umeona uwepo wa kaka Bonny
Woyoooooo woyoooooPukuzzzzzzzzzz
Hahaha hahahaUmeona uwepo wa kaka Bonny
HahaahahaHahaha hahaha
Meshangaa sana jamanii!!
Kafuata nini huku eti
Woooiii...Hahaahaha
Mwenyewe nimeshangaa kuona notifications zake
Woooiii...
Atakuwa kakosea njia







Njia ya kuja huku.... Sijui alikuwa anaenda wapi!
Kakosea njia wapi
Anajua analolifanya
HahahahNjia ya kuja huku.... Sijui alikuwa anaenda wapi!
Anafanya nini eti
Hebu jaribu kujibu etiHahahah
Hivi hili swali natakiwa kukujibu mm
KhaaaaAbiria anachunga mzigo wake itakuwa![]()
Quaresma alikuwa ananikosha sana enzi yupo fc porto alipoenda barca, inter na Chelsea alikuwa w hovyo tu, afadhali kidogo quaresma wa besiktas..Ninakumiss binamu, sana tu yaani kama isingekuwa Kwaresma basi ningekuagizia mapochopocho na madikodiko ijumaa hii ufurahi. Lakini ndo hivyo tena, Kwaresma imekubana.
Ukifungulia tu nikumbushe![]()
Leo nilipiga na juice ya tende, kitumbo kikawa kama bichwa la ankoo padlocks akisifiwa ujinga..Happy furahiday wadau na wale wazee wa swala basi tukimaliza kupiga mkeka tunakutana pale kwenye biriani
Kazi njema, ndugu yenu nitarudi baadaye nataka kusingizia ugonjwa nitoke mapema, nawaza ugonjwa gani bosi wangu hajasikia toka kwangu
Shunie kafungiwa kigamboni jamani!! Hapa kwa jirani yangu kuna binti chibonge kama shunie akee kaja kumliwaza jamaa namuona anashindia jezi za jamaa yangu, mara apige jezi ya super eagles.. Juzi kavaa sendoz kubwa mguu inabidi uongezwe mara mbili.. Huwa tunakutana banda la chipsi..Shuniekwani huko ni kupatwa kwa Shangazi au.?
Embu njoo bc tumekumisi wanao
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamejitwisha mzigo.. Washajiwekea mpira kifuani.. Ni mwendo kwa kudribble tuu.Au katekwa?
![]()
Alitekwa na mtekaji dagaa, angekutana na mtegaji papa basi tena tungemsahau.Ndio shangazi,tulikumiss
Mtekaji kajisahau kakuachia nywila ya JF
Na mie sijui kwanini nawapenda kweli wanawake wapenda kucheza magemu..