Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Hahahaha, Anko unataka kunipa lawama ujue ,mie nifurahi tu
MTC | 101|![]()


wazee wa Englebert hawatabiriki waleHahahaha shangazi jiwe angekuwepo hapa,hachelew kusema wawil wa kudownload..siyo leo jirani nawe...
Hahaha jamani polee ndo utu uzima huo pambana na wawili wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe gizani,litakalompata lazma aseme yalaaaa
Hahahaha
Dada ake kwema??
Ninakumiss binamu, sana tu yaani kama isingekuwa Kwaresma basi ningekuagizia mapochopocho na madikodiko ijumaa hii ufurahi. Lakini ndo hivyo tena, Kwaresma imekubana.Shikamoo binamu
I miss u so much
Binamu usiiombee mabaya Simba, hata aje European champs league first XI lazima Kagere afanze yake.wazee wa Englebert hawatabiriki wale
Happy furahiday wadau na wale wazee wa swala basi tukimaliza kupiga mkeka tunakutana pale kwenye biriani
Kazi njema, ndugu yenu nitarudi baadaye nataka kusingizia ugonjwa nitoke mapema, nawaza ugonjwa gani bosi wangu hajasikia toka kwangu


ukimwambia unaenda kuchukua majibu ya ......saa 5 kamili lzm akutoe chaaaap.
Hahahaha, huwa naonaga clip mitandaoni , mdada anajiita mariam biriani ana tako hivi la haja , ndio huko mnaenda ?ukimwambia unaenda kuchukua majibu ya ......saa 5 kamili lzm akutoe chaaaap.
Iwe njema na kwako pia.na huko kwenye birian ni mwaliko au kila mtu aje na hela yake.?![]()
Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha, huwa naonaga clip mitandaoni , mdada anajiita mariam biriani ana tako hivi la haja , ndio huko mnaenda ?
MTC | 101|![]()



Mjomba kwema.?Mjomba kwema.?
Aisee ijumaa imeanza vyema sn kwa haya maneno yako.
Obe eti ndio huko umesema.?
Sent using Jamii Forums mobile app

Sina hakika km ndie anko,ngoja Obe atusaidie ili tukalione hilo wowowoHahahaha , mie nimesema tu ,km ndio huyo
Haya siku njema
MTC | 101|![]()