ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
Nimemmisi jamani shangaziHahahaha shangazi jiwe angekuwepo hapa,hachelew kusema wawil wa kudownload..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemmisi jamani shangaziHahahaha shangazi jiwe angekuwepo hapa,hachelew kusema wawil wa kudownload..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]nimeomba kazi japo ya kumnunulia vocha kanigomea ati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamka salama mwaego wewe je
Sina hakika km ndie anko,ngoja Obe atusaidie ili tukalione hilo wowowo
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh......Shunie [emoji19][emoji19]kwani huko ni kupatwa kwa Shangazi au.?
Embu njoo bc tumekumisi wanao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu umeanza kuwa na makengeza nawewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka ake shikamoo[emoji2][emoji2][emoji2] wazee wa Englebert hawatabiriki wale
Kwema kabisa hamjambo na akina wawiliDada ake kwema??
Nko poa kpenz,vipi wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawasawa binamuNinakumiss binamu, sana tu yaani kama isingekuwa Kwaresma basi ningekuagizia mapochopocho na madikodiko ijumaa hii ufurahi. Lakini ndo hivyo tena, Kwaresma imekubana.
Ukifungulia tu nikumbushe [emoji846]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binamu utamuweza basi[emoji23][emoji23][emoji2]ukimwambia unaenda kuchukua majibu ya ......saa 5 kamili lzm akutoe chaaaap.
Iwe njema na kwako pia.na huko kwenye birian ni mwaliko au kila mtu aje na hela yake.?[emoji53]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba shikamooooHahahaha, huwa naonaga clip mitandaoni , mdada anajiita mariam biriani ana tako hivi la haja , ndio huko mnaenda ?
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au katekwa?[emoji849][emoji849]Shunie [emoji19][emoji19]kwani huko ni kupatwa kwa Shangazi au.?
Embu njoo bc tumekumisi wanao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba shikamoooo