Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sawa kabsa,acha binamu apambane na hali yake tu kwa kweli

...ujue nini binamu, najishangaa sana, nikiwa sina hela basi akili zote zinakuwa kwa ABJ, Ila nikifikiria kulipwa hela zangu za korosho basi akili yote inakuwa kwa Marybaby, yaani huyu mrembo anapendwa sana na hela zangu.

Yaani wewe hata saa hizi ukisema unikopeshe hela basi nakamata phone namtafuta baby Mary
 
Binamu achana na mary baki na abj wako
 
...nawasalimia wadau wote mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. sichoki kusema hili na nachangia burdani kuiendea furahiday.

Kama msipotaka kujua hali yangu basi mimi sijambo, nawaambia tu na ninauliza kama Kuna Jipya!

Similar Discussions

Back
Top Bottom