Makapuku Forum

Makapuku Forum

Niko poa bro. Huku ni nyumbani. Ndiko nilikofikia huku nilipoingia JF. Sema tu Shunie alizingua wakati ule. Angenidaka nikiwa mgeni mgeni sasa huvi tungekuwa tunaongea mengine. Naye eti hapendi Wasukuma kama kale kakimbaumbau ketu [emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo wewe unapenda vibonge wenye machura mm sina chura jamani
 
Back
Top Bottom