Makapuku Forum

Makapuku Forum

Humuonagi likes uko anavyoyapost na nilishamsoma sana kapuku anapenda wanawake waliojazia
Ni kufurahisha baraza tu mitandaoni humu. Halafu wewe kwa jinsi ulivyo ni lazima tu utakuwa na chura ya kufa mtu halafu mweupe...Huwezi kumkamata mwanaume wa Kisukuma sawasawa bila kuwa na hizo sifa mbili. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Msuku kwa rangi nyeupe,anaweka hata ng'ombe 200
Kuna sister ni cheupe halafu toli tulipiga ng'ombe 75 tena wa kujichagulia. Mwenyewe familia moja hivi ya kishua koko wakataka kunipiga ng'ombe 49 nikachomoa aisee. Ila mwanamke akiwa mweupe, toli halafu ana msambwanda kama Shunie hivi aisee ni hatari. Hata hati za mashamba ya urithi natoa aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom