Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huku ni nyumbani. Ndiko nilikofikia huku nilipoingia JF. Sema tu Shunie alizingua wakati ule. Angenidaka nikiwa mgeni mgeni sasa huvi tungekuwa tunaongea mengine. Naye eti hapendi Wasukuma kama kale kakimbaumbau ketu [emoji16][emoji16][emoji16]
aise sikuwa najua hilo,,mbona huwa anasema anapenda wasukuma,huwa namsikia mara kwa mara akisema ana bebe wake wa kisukuma huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kakimbaumbau bhana kuna anaekateka siku hz kanaonekana kwa nadra
 
Wasukuma wanapenda sana totoz nyeupe babe wangu wa kisukuma huyu hapa pasua kichwa Wick
 
aise sikuwa najua hilo,,mbona huwa anasema anapenda wasukuma,huwa namsikia mara kwa mara akisema ana bebe wake wa kisukuma huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kakimbaumbau bhana kuna anaekateka siku hz kanaonekana kwa nadra
Nilikuwa sijui hilo. Kwa hiyo sasa naweza kumuita shemeji? Ila ajue tu tunakulagaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]

Kakimbaumbau nako naona kamekamatwa sawasawa. Tukakumbuke katika maombi ...
 
Back
Top Bottom