Makapuku Forum

Makapuku Forum

Si kama Shunie bro,,ushawahi kuona yupo na neno na mtu??hasira zote zmejikusanya kwenye chura
Kweli bro. Hata akikwazwa namna gani huwezi kumuona akirusha matusi. Sana sana atakutafuta baadaye pembeni anakuuliza kwa upole. Hana kisirani wala gubu kama la vimbaumbau flati skirini...Hivyo mnaweza kuwa mmekosana mwaka 1997 mpaka leo bado kina gubu. Kwa hili kwa kweli Shunie anastahili hongera. Mi mwenyewe nilishamkwaza mara nyingi tu hata bila kujua lakini baadaye sana ndo utamsikia "ile ishu Msukuma sikufurahia" halafu yanaishia hapo na mnaendelea kucheka tena. Sifa bora kabisa hii kwa wanawake wenye misambwanda aisee...Misambwanda hoyeeee !!!
 
Yeah! Nilifanikiwa kuacha pombe vu bin vuu baada ya kuombewa na mchungaji. Yaani siku hizi nikisikia hata harufu tu kichwa kinauma wakati nilikuwa sipitishi siku bila kutandika bia angalau tatu tena zile kali. Mungu ni mwema !!!
Aiseee Mungu ni mwema na mm naomba Mungu anisaidie jamani niache Heineken yaani
 
Aiseee Mungu ni mwema na mm naomba Mungu anisaidie jamani niache Heineken yaani
Heineken zinakuendesha eeh? Mimi kuna bia inaitwa Dogfish 90. Yaani ilikuwa lazima nipate angalau tatu vinginevyo siku haitaenda. Endelea kumuomba Mungu na ufanye dhamira ya kweli katika imani. Siku moja utashangaa Atakapokugusa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom