Prince az
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 1,223
- 1,570
Hahahaha



weee
Hahaaaa basi sifa kwa bwanaBaby, endelea tu mwenzio kwako sioni wala sisikiii
....ugangani siendi tena, nimepanga nyumba ya mlokole yaani naishi kwa furaha kabisa,
Hahaha sawa sawaHii ni 2019 ukiacha/ukiachwa unaachika tu kwan sh ngapi
Nn sasa
Numbisa huendi mbinguni. Wewe sio wakunitoa mate kwa misosi murua kama hiyo. Kiukweli najuta kupitia uzi huu. Umefanya usiku wangu uwe wa kuweweseka kwa kuwaza hayo mapochopocho ilhali mara ya mwisho kula hadi nishasahau.Happy birthday ShunieView attachment 979621 Be blessed. Kama pilau imezidi viungo chips zipoView attachment 979622 Pamoja na kwamba nimechelewa ila nimefanikisha kufikisha salamu. Mwaka mpya tuuone pamoja.
Numbisa huendi mbinguni. Wewe sio wakunitoa mate kwa misosi murua kama hiyo. Kiukweli najuta kupitia uzi huu. Umefanya usiku wangu uwe wa kuweweseka kwa kuwaza hayo mapochopocho ilhali mara ya mwisho kula hadi nishasahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Koromoje hakuwezi kuwa na mapochopocho ya namna hiyo. Hahahaa watakuloga wana kijijiji wenzio. Nipo huku kinyanamba nagema ulanzi na kuokota mikusu na misasati. Karibu sana makande ya mahindi mabichi, maharagwe na viazi ulaya beeMmmh kumbe upo mamtoni hongera. Huku kwetu koromije ni saa kumi na mbili kasoro sita
Koromoje hakuwezi kuwa na mapochopocho ya namna hiyo. Hahahaa watakuloga wana kijijiji wenzio. Nipo huku kinyanamba nagema ulanzi na kuokota mikusu na misasati. Karibu sana makande ya mahindi mabichi, maharagwe na viazi ulaya bee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nko poa kpenz za ww
MfyuuuuHuyo nae sijui katekwa na nani anakuja kwa kubeep
Zangu njema kbs,Nko poa kpenz za ww