Khaaaaaa
Nini tena binamu... mbona kama kauli zako zina tumajungu majungu fulani hivi?! Si ni wewe mwenyewe ndie uliniambia kwamba nina binamu yangu mwingine aitwa Shadeeya, na kwamba eti nikimuona lazima nimpende![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo ni kaka binamu angu khaaa kaka chige hapana aiseee
Kumbe ulikuwa unanitega enh?! Lakini tuache masihara binamu, yaani kila nikitaja jina la binamu Shadeeya, moyo unafanya pah... sijui ndo nini!!