Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mary naona katekwa kawa adimu mpaka jukwaa la storyMarybaby umeficha wapi
Mary naona katekwa kawa adimu mpaka jukwaa la storyMarybaby umeficha wapi
Kwahiyo sisi wengine wa uongoUpo binamu yangu wa ukweli. Miss you
Njema za ww dear
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...usiishie tu kusema sawa, sema asante nimemuita
Mary naona katekwa kawa adimu mpaka jukwaa la story
Mary naona katekwa kawa adimu mpaka jukwaa la story
...usiishie tu kusema sawa, sema asante nimemuita
Kwahiyo sisi wengine wa uongo
sawa bwana basi mlete jukwaani
Hahahaha, ahsante kwa kuniaminiSawa we mzee nimekuamini
...atakuja tu, ngoja saa hizi amalizie mradi wa Stigla goji
Barikiwa mama.Verse of the Day
Luka 12:11-12
11 Na watakapowapeleka ninyi mbele ya masinagogi na maliwali na wenye mamlaka, msifadhaike kwa kuwaza maneno yenu jinsi mtakavyojibu au kusema; 12 kwa kuwa Roho Mtakatifu atawafundisha saa ile ile yawapasayo kuyasema.
Commentary
Wakati tunahitaji msaada zaidi, Yesu anaahidi kuwa atakuwa pale na atatuma Roho wake kutupa maneno tunayohitaji. Kwa karne nyingi, ahadi hii imewasaidia wale wanaokumbana na mateso na dharau. Iliwasaidia kutambua kwamba hawakuwa peke yake na kwamba hawakuhitaji kuwa na wasiwasi juu ya kuwa na jibu kamilifu kwa kila kitu kinachoingia ili kukabiliana na wasikilizaji wenye chuki. Ahadi hiyo hiyo inawasaidia Wakristo leo ikiwa ni chini ya mateso ya serikali au wanakabiliwa na uadui wa wasioamini katika sehemu ya kazi, shuleni, au nyumbani. Tunakabiliwa na adui zetu, tunajua sisi sio pekee; Mwokozi wetu huenda pamoja nasi.
Hahahaaa akili zako unazijua mwenyewe
...atakuja tu, ngoja saa hizi amalizie mradi wa Stigla goji
Poa we mzee habari yako vipi mmeshaapisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]