Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,341
- 201,599
Truth shall always set you free
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zangu njema kbs,
Aliekuteka naona amekuweka ktk handaki mama sio kwa ukimya huo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hii ni 2019 ukiacha/ukiachwa unaachika tu kwan sh ngapi
Niko poa sana mimi,,naperuzi hapa kazi tu vs kazi na bata kupunguza stress[emoji52]...nzuri sana, asante kwa kuuliza. Uko poa wewe?
Mbona umefurahi sana binamu baada ya kusikia kauli ya madame kuwa ukiachwa unaachika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko poa sana mimi,,naperuzi hapa kazi tu vs kazi na bata kupunguza stress[emoji52]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umefurahi sana binamu baada ya kusikia kauli ya madame kuwa ukiachwa unaachika