marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197



bc nafuta kauli
Kwa hili kuanzia leo wewe siyo rafiki yangu tena!!
Sent using Jamii Forums mobile app



bc nafuta kauli
Kwa hili kuanzia leo wewe siyo rafiki yangu tena!!
HahahahahaNdio mana nataka kukutoa kwenye chama lako chama la wana ukule mautamu ya baba wawili


Safi Sana, week end njema MkuuNipo Sinza nashangaa kuna sehemu wanauza kisusio na jioni yote hii mkui!![]()
Hahhaha nataka umtoe huko baba wawiliHahahahaha
Mtu ambae anataka Maza angu aliwe mbele ya macho yangu kama anti Shunie anaweza kuwa rafiki yangu huyo?
Shangazi kwa nini kila nikikuita hauji?Hahhaha nataka umtoe huko baba wawili



Kuja wapi? Mambo unayoongea ni mazito sana ndio mana nakaa kimyaShangazi kwa nini kila nikikuita hauji?![]()


Kuja wapi? Mambo unayoongea ni mazito sana ndio mana nakaa kimya
Mm unanijuaga huwa sijibu nakaa kimyaHaya mambo ninayoongea leo yanamuhusu mama kesho yatakuhusu wewe!![]()
Amkimbize mara ngapiiii hata ml ningekimbia