marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Hahahhah binamu bwana...wewe ni aunt yangu wa ukweli! Kwani umeshasikia nna aunt mwingine humu. Yaani uko mmoja tu kama kaniki la mganga
Shkamoo shangazi [emoji6] Tumosa Nakumiss eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekua adimu km bwana kitwanga baada ya kula nyundo [emoji123]Nimerudi mimi[emoji4]Mary naona katekwa kawa adimu mpaka jukwaa la story
Akupe na zawadi ya kumuitia [emoji58]...usiishie tu kusema sawa, sema asante nimemuita
Huyo nae sijui katekwa na nani anakuja kwa kubeep
WoyooooooNimekua adimu km bwana kitwanga baada ya kula nyundo [emoji123]Nimerudi mimi[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naruhusiwa kusema nimekumiss to the moon and back??[emoji23][emoji23] miss you too hun[emoji173]Na mm nmemmiss marybaby
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naruhusiwa kusema nimekumiss to the moon and back??[emoji23][emoji23] miss you too hun[emoji173]
Shunie aunt utatumaliza na je wajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Shkamoo, (goti mpk chini)...marhaba binamu, ujue ni kama mawazo yetu yamekutana pamoja. Uko aje wewe
Unaenda wapi eti dadaNapita tuu jamani
@Bonny