Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ebu kalale babe tutaonana kesho eeenh mtoto wangu mzuri mzuriShangazi ngoja kwanza kesho nikiamka hili neno km lina utamu ndani yake
Sent using Jamii Forums mobile app

Ebu kalale babe tutaonana kesho eeenh mtoto wangu mzuri mzuriShangazi ngoja kwanza kesho nikiamka hili neno km lina utamu ndani yake
Sent using Jamii Forums mobile app

Ni vile umenifurahisha kumtag bonny nataka kujua tu uhusika wake hapoNaona venye umecheka
Unaanzaje kuzeeka shangazi yako yupo
Hapana watu wawili tofauti ndio mana wako dini tofauti
Asante we mzee uniletee vitenge jamani ukirudi dar nishone magauni ya kwenda kanisani
Hahahaha, shangazi unataka kunirudisha dar mapema yote hii ? Ndio kwanza MTU anachukua nchiAsante we mzee uniletee vitenge jamani ukirudi dar nishone magauni ya kwenda kanisani
Hahahaha, shangazi unataka kunirudisha dar mapema yote hii ? Ndio kwanza MTU anachukua nchi
Ila usijari wewe tena vitenge /wax umepata
Sent using Jamii Forums mobile app







Nakurudishaje dar mapema we mzee mm nitakulipa hela yako utakayonunulia
We maliza mambo yako tu ukirudi nirudie na vitenge vyangu
Hahhaha nacheka sana we mzee unanifurahisha sanaHahahaha, haina haja ya kuvilipia ni zawadi kwako shangazi
Ngoja aapishwe tuone inakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha nacheka sana we mzee unanifurahisha sana
Kwahiyo vitenge vinakurudisha dar
Nashukuru na ninafurahi kuona namie namisiwa duniani hapa..Heri ya mwaka mpya jamani za wewe tunakumiss tu sisi
Missed u zaidi shemela...Shemela we miss u soooo much
Karibu usitutupe mno bana
Shkamoo, (goti mpk chini)
Habari ya uzima,?pesa za korosho tayari.?
,,,,?maswali km yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kutusemea Baba mchungaji ubarikiwe mnooo![]()