Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hata sisi jamani
Hata sisi jamani
Asante anko kwa nyimbo huwa naipenda sana....wimbo huu ukiangalia clip anaongelea gonjwa letu lililokaa sehemu tamu. aliwahi kutoa mhadhara baada ya kifo cha mwanaye kuhusu HIV/AIDS.
Bahati mbaya naye kaondoka kwa sida ile ile kama walivyoondoka wanamuziki maarufu wa ukanda huu.
Namkumbuka kwenye filamu ninayopenda kuangalia muda wote NERIA, alicheza kama anko
Mie mwenyewe hata sielew shunie akee.Mh kwa nn unakuwa hivyo lakini
Olu ze taimu mkulu.....niaje mopao, naamini kila kitu kinaenda sawa. Ni jambo zuri kukuona hapa, all the time
"fata maneno yangu, usifate matendo yangu"....wimbo huu ukiangalia clip anaongelea gonjwa letu lililokaa sehemu tamu. aliwahi kutoa mhadhara baada ya kifo cha mwanaye kuhusu HIV/AIDS.
Bahati mbaya naye kaondoka kwa sida ile ile kama walivyoondoka wanamuziki maarufu wa ukanda huu.
Namkumbuka kwenye filamu ninayopenda kuangalia muda wote NERIA, alicheza kama anko
Tuko byeee!! Miss u zaidi kapuku.Mko poa makapuku, nimewamissije lol
Olu ze taimu mkulu..
nafurahi kukuta mtu wewe bado unaendeleza gurudumu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuita asome tuu..Ni vile umenifurahisha kumtag bonny nataka kujua tu uhusika wake hapo
Tanx a lot nafurahi kuwaona mko pooooooaaaaa
Nasie twafurahi pia.Tanx a lot nafurahi kuwaona mko pooooooaaaaa