Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,976
Woyooooo haya ni zaidi ya mahaba jamaniKukuacha ww sio leo wala kesho love,,bado tupo sana tu
Woyooooo haya ni zaidi ya mahaba jamaniKukuacha ww sio leo wala kesho love,,bado tupo sana tu
hahaha abakie vugutu sio??nakazia mkate
Kwakweli ndio shangazi yake mm hana la kufanya anivumiliendio shangazio
Hahhaahahhah jamani baba wawiliSitabadirika love,,unajuwa wapi tulipotoka,,niende kwingine kutafuta nn bibie
ntajitahidi kumsihi awe hivoKwakweli ndio shangazi yake mm hana la kufanya anivumilie
Kwani huwa anakulaga na nn eti siku zoteam waiting ninekupikia chakula ukipendacho uje nikulishe kwa mkono wangu leo
Kwahiyo we mzee ukija humu unakuwa kijana eenh
Hahahahahaha nimecheka mm ila binamu umeuliza swali la maana sana...sasa alikuwa nalombanaje na balozi sasa? Acha nisiwaze sana maanaFurahiday imekaribia, nikishagonga mbili tatu nne kama tatunane basi nitakuja kuwazia hapa kwa sauti kama ni mdomo au
mara nying anakulaga na mkono wake siku moja moja kuonesha mahaba inaswihKwani huwa anakulaga na nn eti siku zote
AseeWewe pekee ndio unayenikuna miwasho yangu yote
Baby nifanye zuzu
...duh, kwa hiyo siku zote huwa unachelewa binamu? Sasa waliokuwa wanabisha umewawekea ushahidi kuwa huwa unachelewa kwa kisingizio cha trafic kumbe unaenda kumla mtu (kwa sauti ya Jiwe)







...duh, mapenzi haya shatashata sana, kwa hiyo siku nyingine huwa unamlisha kwa mguu au unamtengeaga tu ale kitovuni kushuka chini.







Unamjuaaa
Atakuja umwambie princeUkimwona mwambie aache kuzingu
Hahhahhaha sawa nini dogo wa mary jamaniiisawa
Ndiwoooo mkate madamehahaha abakie vugutu sio??
Msihi tu Madame avumilientajitahidi kumsihi awe hivo
Woyooooo baba wawili wangu unafunga mwaka vizurimara nying anakulaga na mkono wake siku moja moja kuonesha mahaba inaswih
Vipiiii jamani we mzee nyimbo hiyoAsee