Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Ha ha ha ha ha ha haHakuna fitna wala nini hapa, mwenyewe umekuja na ngozi ya ngombe aliyeibiwa. Ha ahahahaha
Ha ha ha ha ha ha haHakuna fitna wala nini hapa, mwenyewe umekuja na ngozi ya ngombe aliyeibiwa. Ha ahahahaha
Kwan leo umelala kwa yupi??ulale salama binamu,,wacha sisi tuendelee kulima hapa,,mavuno mwez wa tisaNgoja nilale, niliamka kubadilisha alarm
Atakuja umwambie prince
Hahhahhaha sawa nini dogo wa mary jamaniii
Ha ha ha ha ha ha siku njema binamuHa ahahahaha, eti kamati ya rohombaya. Hii sihusiki nayo mimi ni mgeni humu
ile shughuli yako ile ya teuzi ni haram kwani?Weeeh ushindwe ndugu yangu huyo mtu wa dini



Sijambo maza,shikamoo!poa hujambo son??
marahaba mwanangu wa mwisho umeamkajeeSijambo maza,shikamoo!
Nimeamka salama ila njaa inauma maza!marahaba mwanangu wa mwisho umeamkajee



jana ulishiba sana eh?? Saa hiz mapema kunywa chai ya motoNimeamka salama ila njaa inauma maza!![]()
Mama sitaki chai mimi nataka unipikie ugali!jana ulishiba sana eh?? Saa hiz mapema kunywa chai ya moto

Asante sana love,tubarikiwe sote na tuwe na siku njema ya kupendezaWow, thank you bae umenifanya siku yangu nianze na tabasam ubarikiwe love
Did you remember to honk before the alarm went offToday morning when I was driving my Ferrari, the alarm woke me up 🙁