moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,152
- 770,267
Alhamdulillah, usemayo ni kweli tupuShukurani zangu ni kwako
Alhamdulillah, usemayo ni kweli tupuShukurani zangu ni kwako
U hali gani loveabeee mpenzi
Umeona eeh,,shangazi huyu,,anamakusudi kumbeUnitaftie ww mume tuachane usijue?
Nipo nae sana,,unataka kutuona na wapi tena??Sikuoni nae baba wawili
Aisee,,ni kweli nazurula peke yangu,,ingekuwa na nazurula na mtu hapo shida ipoNdio nilitaka kushangaa mana namuona anazurula peke yake tu
Sipendi kumbana yuko huru muhimu ajue nafasi yangu kwake
Mm natamani upende kumbana cc @ningendako
Ha ha ha,,kwann anibane sasa??ww unambana mjomba?Mm natamani upende kumbana cc @ningendako
ukibadilika ntakukata masikio yako nikukaangie uyale na ugali mchanaKabsa wa ubani,,cha msingi najua nafasi yako kwangu na kwako pia,,ukishikwa shikilia
Kukuacha ww sio leo wala kesho love,,bado tupo sana tuAtanichoka haraka kisha aniache bure napenda awe huru ila usizidi
am fine hofu kwako wwU hali gani love
mhh haya naomba tu iwe hivo mana hamkawii nyie kuanza picha pichaKukuacha ww sio leo wala kesho love,,bado tupo sana tu
mwambie akuje kwetuNipo nae sana,,unataka kutuona na wapi tena??
ndio shangazioUmeona eeh,,shangazi huyu,,anamakusudi kumbe
Sitabadirika love,,unajuwa wapi tulipotoka,,niende kwingine kutafuta nn bibieukibadilika ntakukata masikio yako nikukaangie uyale na ugali mchana
Mi nipo salama kabsa,,btw nmekumiss hapa,,acha niwahi kuja nyumbanam fine hofu kwako ww
Hayo mapicha picha sahau mpenzmhh haya naomba tu iwe hivo mana hamkawii nyie kuanza picha picha
Alisema weekend hii anakuja ,,ngoja tumsubrmwambie akuje kwetu
haina shida uwe makini tuSitabadirika love,,unajuwa wapi tulipotoka,,niende kwingine kutafuta nn bibie
sasa s angenambia mm tu mana jiko ndio sehem yangu anakwambia ww akija utapika nayeAlisema weekend hii anakuja ,,ngoja tumsubr