Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Hahahaha vyumaaaa kila mtu anapambana na hali yakeNdio ndugu.Usawa huu sio
UnamjuaaaRafiki mambo?![]()
Kweli kabisa Dada.Hahahaha vyumaaaa kila mtu anapambana na hali yake
Umeshaanza ndugu yangu? 😎😎Unamjuaaa
Hahhaha hamna mm nimemuuliza tu yaani kama kakuita anakujua vile ndg yanguKweli kabisa Dada.
Umeshaanza ndugu yangu?![]()
😂😂😂😂 haya ndugu yangu uwe na mchana mwema.Hahhaha hamna mm nimemuuliza tu yaani kama kakuita anakujua vile ndg yangu
Mary ukiona haonekani huku yupo busy entertainment kusoma mastory yamemjalia uko
Niite jina langu baibeee huwenda nafsi yangu ikapoa
Niite jina langu baibeee huwenda nafsi yangu ikapoa
haya ndugu yangu uwe na mchana mwema.
Anazinguaje tena jamaniHahahaha anazingua au ameanza kuogopa
ila mi sijali atakuja tu ,ujue dogo janja mvumilivu sana
Duuh
🙏🙏🙏 😍😍😍Asante mpenzi na kwako pia
Shika moyo wangu baibee unavyokwenda mbio unaweza ukapoa
Anazinguaje tena jamani
Atakuja tu we kuwa na subira tuHaji uku jukwaani
Karibu tena jiraniNishakuja. Jirani.
Nipo ndugu yangu jana nilitoa likes kwenye uzi wa yule aliyewashindanisha na Mzigua nikaona mmenita ila nilibanwa sehemu hivyo hata sikuja.
Mmeamkaje lakini ndugu zangu?