Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Weeeh ushindwe ndugu yangu huyo mtu wa diniAcha longolongo kama unataka kufanya kazi yako fanya tuuuuuuuu!!![]()
Weeeh ushindwe ndugu yangu huyo mtu wa diniAcha longolongo kama unataka kufanya kazi yako fanya tuuuuuuuu!!![]()
Hahahaha, nyimbo zako za Leo nimezipenda kwa kweli, inaonekana una playlist nzuri sanaVipiiii jamani we mzee nyimbo hiyo
haswaaa ngoja nijitahidiWoyooooo baba wawili wangu unafunga mwaka vizuri
poa hujambo son??Mke wa mtu mambo?![]()
Aisee binamu..utayawekea na kachumbari au ndo utayakaanga kama kuku wa kizungu?
nataka nimfanyie roast kabisa unaonaje
Naona umeamka kupasha kiporo binamu?!🐱🐱🐱Aisee binamu
Ha ha ha fitina hzo binamu...duh, kwa hiyo siku zote huwa unachelewa binamu? Sasa waliokuwa wanabisha umewawekea ushahidi kuwa huwa unachelewa kwa kisingizio cha trafic kumbe unaenda kumla mtu (kwa sauti ya Jiwe)
Kitovuni kushuka chini tena ha ha ha...duh, mapenzi haya shatashata sana, kwa hiyo siku nyingine huwa unamlisha kwa mguu au unamtengeaga tu ale kitovuni kushuka chini.
Hakuna fitna wala nini hapa, mwenyewe umekuja na ngozi ya ngombe aliyeibiwa. Ha ahahahahaHa ha ha fitina hzo binamu
Ngoja nilale, niliamka kubadilisha alarmKitovuni kushuka chini tena ha ha ha
Sawa sawa shangaz,,utatuona sana tu hapaJamani humu baba wawili
Ndio ndio,,kama naziona fitina za ndugu zangu binamu na mjomba wanavyoumia,,ha ha haWoyooooo haya ni zaidi ya mahaba jamani
Ha ha h ha ha ha jamanhahaha abakie vugutu sio??
Kwani huwa anakulaga na nn eti siku zote
Ha ha ha ha love u die babemara nying anakulaga na mkono wake siku moja moja kuonesha mahaba inaswih
Ha ha ha ha ha hawezNdiwoooo mkate madame
Ha ha ha kabsa shangaz,,mahaba kama yoteWoyooooo baba wawili wangu unafunga mwaka vizuri
DuhMke wa mtu mambo?![]()
Nipo na madame wangu,,Naona umeamka kupasha kiporo binamu?!![]()