Sina sauti nzuri mm ndio najijuaHahahaha
Nafurahi walau sasa umejua kuwa una sauti nzuri ,japo kdg
We mzee una mambo sanaAcha tu Leo nisikilize mashairi matamu na maridadi
Uwanja ni wako bibie
Kungekuwa jf na app ya VN ningekuwekea hapa ukimbie
Kwa vyovyote siwezi kukuacha upotee
Sina sauti nzuri mm ndio najijua
Leta vitu ,bi ShunieWe mzee una mambo sana
Kwann shangazNikajua umeshaachika baba wawili wangu
He he acha nijichekee tu mie
abeee mpenzi
Nikajua umeshaachika baba wawili wangu
Sauti nzito chura haoni ndaniHahahaha, nikimbie nn tena
Huwezi jua ,ktk mambo ya muziki hata base ina nafasi yake
Kwann shangaz
Sauti nzito chura haoni ndani
Hahahaha ,furahi ,week end ndio inaelekea kuunza
Ndio nilitaka kushangaa mana namuona anazurula peke yake tuUnitaftie ww mume tuachane usijue?
Nilikuwa silijui hilo music gani kwanza
Hahahaha muziki wowote