Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Nmefurahi kukuona binamu yangu,,Tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai hadi muda huuNimeipokea mdau, nipo sana nashukuru Mungu.
Nmefurahi kukuona binamu yangu,,Tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai hadi muda huuNimeipokea mdau, nipo sana nashukuru Mungu.
[emoji42][emoji42]
22:00 sasaHahahaha
Safi Sana ,ndio kwanza 21:55
Tupo mjomba,,,kwema huko?
Huwa tunalala kesho saa saba au naneHahahaha
Safi Sana ,ndio kwanza 21:55
HahahaKwema Kabisa
21:58 muda wa ugimbi huu kwaherini
aya bye[emoji42][emoji42]
Mchumba[emoji42][emoji42]
Sijakuelewa mkuu,nan mchumbaMchumba
Sorry mkuu, hilo neno limejipachika halikukusudiwa hilo na nikapost bila kuhakikiSijakuelewa mkuu,nan mchumba
Mjombaa mjombaaaa uhaliiii ganii[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Sijakuelewa mkuu,nan mchumba
@Obe kwema ndugu,?Najidediketia wimbo huu na ballad hii;
Makaburi hayajajaa na yatuita watu, kama yalivyokuita ndugu yangu.
Maisha yanaendelea na siku zote nitakukumbuka maana ulibaki peke yako,
ulituongoza japo kitandani hukuweza kuamka,
tabasamu liliwaka, kila uliponiona.
Uliposikia jina langu ulifurahi na kuonesha meno yako.
hukuwa na pengo.
Pumzika na ni ngumu kusema kwa heri jana.
Hukulipenda giza, kaburini tutakuwekea taa, usiogope,
utamkuta baba (kaka yako) na utamkuta bibi wanakusubiri.
Tunakurudisha kijijini, sio kwamba tunaogopa jinamizi,
tunataka ukafurahie tulipotokea, utakuwa na bibi.
Umeivuta 82, mimi hata nusu sijaikaribia.
Tutakukumbuka wote, mjukuu wako kafunga shule,
atasikia masimulizi, anapenda kusoma,
ataona picha ana macho ya malaika,
hutasikia sauti yake, ila nakuambia tu ana sauti yako na
tutakukumbuka sana.
Pumzika maana siwezi kusema kwaheri jana.
Oh, nimeandika haya, niko njiani, nimefunga mkanda,
unajua ninapenda kuandika na hii itakuwa ni barua yangu ya mwisho.
sikuandikii usome wewe,
namuandikia mjukuu wako ambaye naamini hajabeba miguu yako 😀 na nimeweka hapa ili maandishi haya yaishi
maana yana jina langu
Shkamoo mume[emoji4]Mjombaa mjombaaaa uhaliiii ganii[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23]wivu ndio mapenzi yenyewe Prince.Uyu mme wake anawivu hamfikii jiwe
Salam zako nyingi sana huko ulipo zikufikieMfyuuuu
Shukran mamaKila siku unaghairisha Mambo sababu umejawa na Matamanio, sio Malengo. Jua kutofautisha Kati ya hivyo vitu viwili itakusaidia sana kimaisha na Kibiashara
[emoji41][emoji41]Haweziiii ata kwa dawa
[emoji13][emoji13][emoji13]Wewe acha utafutiwe mchepuko