marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Alafu rafiki mi naona hunitakii mema kbs yaani,badala uombe dua ndoa idumu we waiombea ivunjike kweli, ?![]()
Hakuna kama jiwe!Mimi iko penda sana teua-tenguzi zake!.....Prince anakusalimia mkuu!!


we kivuruge sanaMugabe ama ,?


Nnashangaa sana kwakweliShangaa na wewee
Marhabaaa mke mpendwaaa mwenye mahaba yoteeeHaha mkalia vyote nimeamka salama,japo naona umeikwepa heshima yako![]()
kona zote
Mugabe ama ,?![]()
Ayeee![]()
Nipende nione duniani tupo mimi na weweNakupendaaaaa wewe mwanamkeee


Tumuongezeee jiwe tu kwa upendeleooNipende nione duniani tupo mimi na wewe![]()