Mimi mzima pia,,,nakumiss sana tuWaaleyqum salaam warahmatullah
Me mzima khouf kwako weye
Oh haya namsubiria
Mimi mzima pia,,,nakumiss sana tu
Owk love,,ngoja tumsubiri hapa
Nmemwambia bibie anauchovu kadai ana jambo anataka kuteta na ww.Nakumiss zaidi
Mwambie askawie nasinzia
Nmemwambia bibie anauchovu kadai ana jambo anataka kuteta na ww.
Huyu nae mtembez hatar,,ngoja nimstue
Sawa sawa lavie,,ngoja nimsubiri hapaMalizana na aunty yako babee utanikuta
Sawa sawa lavie,,ngoja nimsubiri hapa
Namsubr robo saa,,na mm nakuja hapo andaa tuHalaf utalala saa ngapi
Namsubr robo saa,,na mm nakuja hapo andaa tu
Ngoja nije bebe,,
![]()
Bado mapema mnoooMpo Makapuku, au mmelala?
Tupo mjomba,,,kwema huko?Mpo Makapuku, au mmelala?