Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hapana nakataa
itakua anko magu hakuna mwinginee
itakua anko magu hakuna mwinginee
Zipo mbona mtafutieMama mdogo
Naonaa Tumosa anajaribuu sharuby zako
Hazipooo nakwambiaa ata pa jana niliuliziaa hawanaZipo mbona mtafutie
Ya kutenguliwa na jiwe ujiweniHahahaha
Hali gani tena Mkuu?
Ni njema pole na mihangaiko ya sikuHahahaha
Na kwako pia, Mama mchungaji
Habari za jioni
Mungu akusidie kisijrudie tenaaAsante mke mweee ni miaka imepita Ila siwezi sahau

Hazipooo nakwambiaa ata pa jana niliuliziaa hawana
Safi ,naona mpo kijiweni km kawaNi njema pole na mihangaiko ya siku
Wewe acha utafutiwe mchepuko
Mungu akusidie kisijrudie tenaa![]()
![]()
![]()
Hiko tu sema kingineNabishaaaaa hebu tulishe tuone![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Weka jukwaani pm mm cpajuiNakutumiaaa pm