Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yawezekana wewe ni Tai sio kuku, lakini mazingira uliyoyakuta, jamii unayo interact nayo mara kwa mara inakutengeneza uendelee kujiona kuku. But kiuhalisia wewe ni Tai. Chagua moja paa angani uingie msituni waliko Tai wenzio ukatafute nzige idadi utakayo ili ushibe au baki zizi la kuku uletewe pumba kwa kipimo hata kama kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom