ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Hahahahaha sasa hawa wanatuletea mambo ya jamal,,sijui kafanya nn
Nilikuwa nmesahau jiaraVp kwema jiran?



hawajui utamu wa muvi za kutafsiriwa HahahahahahahahKwema jirani yangu wewe je
Hahahahaha sasa hawa wanatuletea mambo ya jamal,,sijui kafanya nn
Nilikuwa nmesahau jiaraVp kwema jiran?



hawajui utamu wa muvi za kutafsiriwa HahahahahahahahHahahaha watajulia wapi hawa,,hawajui utamu wa muvi za kutafsiriwa Hahahahahahahah
Kwema jirani yangu wewe je
Hahahaha watajijua..Hahahaha watajulia wapi hawa,,
Huku kwema pia,naona unafanya maandaliz ya kwenda shamban

Ndiyoo jirani nije nikupitiee?Hahahaha njoo jirani,,huu ndio muda wake wa kwenda kulimaHahahaha watajijua..
Ndiyoo jirani nije nikupitiee?
Shikamoo mdogo wanguMmmmmmmmm yawapi haya tenaaa???
Usinichoke jiwe jamaniSasa ndio nataka kupotea mazima ole wako nikuone WhatsApp unaniletea habari za makapuku
Nmesahau binamu
Furaha ya kumuona jiweBinamu hicho kicheko kinaashiria nini?
Mshakunakuuuu wanguu mpambe nuks za asbhNmesahau binamu
Hahahahh.... Ila jirani ebu nitoe ushamba mwenzio tena ninong'oneze ikiwezekana, jiwe ndo nani?![]()

Hahahahah Siyo masihara jirani wewe, nani atakutengua sasa akati me niko mwenyewe
Kwahiyo aloomba wimbo ndo jiwe?

Shikamoo mjomba yao watuHahahaha, asee
Sasa naanza kuelewa hizi lugha zenu vijana ,za uteuzi na utenguzi , kilele na kileleni

Sitaki kuamini kama ni wewe baba wawili ninayekupenda ndio unanisnitch khaaaa
kaharibika huyo jamani