Kenya has the highest rate of single mothers in Africa.
Ladies never date Guys named Peter, he denied Jesus 3 times" Wat if you get pregnant?
Nimekutana nayo huko mitandaoni chief,Utafiti wa kina nani huu?
Hiyo nayo codes nyingine tena,,jamal wa empire??bado shangazi sijakupata,,,ongea vzr hata mm na ndugu yangu ABJ tulio mikoani tuelewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaa baba wawili huijui series ya mpire kama haujui cha kukusaidia mm sina baba wawili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi naangaliaga za dj Mafy [emoji125][emoji125][emoji125]Sisi tunaita season,,zile zimewekwa maneno ya kiswahili na dj afro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naifahamu shangazi,,sema siipendi na sijawahi kuitizama hata mara moja baada ya kuona maudhui yake kwenye trela
Kuna nyingine pia ipo kama empire,inaitwa STAR pamoja na Dynasty,,,kama umeipenda empire hata hz pia utazpenda sana.
Hahaha kutafta helaBinamu kaenda wapi jirani?
MmmmhhKenya has the highest rate of single mothers in Africa.
Hahahahaha sasa hawa wanatuletea mambo ya jamal,,sijui kafanya nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi naangaliaga za dj Mafy [emoji125][emoji125][emoji125]
Vp kwema jiran?Hahaha kutafta hela