Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
unamgawa madame wangu kama plate za shughulini aseee,Mm nimefanyaje tena arch hivi upoooo
nipo mshikaji, shkamoo kwanza, halafu mbona hunitag sikuiz hakuna matukio??
unamgawa madame wangu kama plate za shughulini aseee,Mm nimefanyaje tena arch hivi upoooo
Hivi mkuu una habari kuwa jiwe alishanikabidi chura siku nyingi sana na sijawahi kutenguliwa wala huwa sitenguliwi mkuu?au leo unajifanya kuwa hujui kuhusu uteuzi wangu??!![]()
Mapesa ya koroshow simu anagongea hanunuliwi chezea binamu wewe
Mim nakulaa vzuriii na mwenye teuziii japo leo alitaka kunichenjiaaOhhh!!Bashite mwenyewe ndiyo wewe hapo ndiyo maana huwa huguswi!!![]()
Sitaki awe anakuja huku kwa sababu jiwe anavyonichukia siku hizi hakawii kutengua huo uteuzi!Nifeeeeeeeeeeeee



Hahhaha huu msemo wa sharing is caring ulikupitia kando eenh matukio hata sijui jamanii mwenyewe naingia kwa kubeep mshkaji wangu si unajua uhenga ukizidiunamgawa madame wangu kama plate za shughulini aseee,
nipo mshikaji, shkamoo kwanza, halafu mbona hunitag sikuiz hakuna matukio??
Mim nakulaa vzuriii na mwenye teuziii japo leo alitaka kunichenjiaa


Kuna siku atakutengua tuuuuuuu!!
Ngojaaa ajeeeeSitaki awe anakuja huku kwa sababu jiwe anavyonichukia siku hizi hakawii kutengua huo uteuzi!![]()
unamgawa madame wangu kama plate za shughulini aseee,
nipo mshikaji, shkamoo kwanza, halafu mbona hunitag sikuiz hakuna matukio??
Hatimae uchochezi wangu umezaa matunda!!Hahhaha huu msemo wa sharing is caring ulikupitia kando eenh matukio hata sijui jamanii mwenyewe naingia kwa kubeep mshkaji wangu si unajua uhenga ukizidi




Kuna siku atakutengua tuuuuuuu!!
Chura wangu hawezi kuja huku mkuu kwa hiyo nipo safe sana kwenye hizi ishu za tenguzi!Ngojaaa ajeeee



Dadaa wee tuache na mapendhi yetu eeer.."
Chura wangu hawezi kuja huku mkuu kwa hiyo nipo safe sana kwenye hizo ishu za tenguzi!![]()
Na wewe ndo mteteziii wanguuu uliyebakiii
Zama zakoo zishapepeaa..usinisahau na mimi mjomba fisimajiusioneupenyo
Hahaha sema jirani yangu anampenda binamu hivyo hvyo haijarishi
Bila hianaa naanza na binamu wangu wa faidaaa @obe
Naona tena dalili za ramli chonganishi hapa!![]()