Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Ungeanza kumtengua nani?Hahahahaha watanirogaaaa asubh asubh make nitapanga panguaa kila saa



Ungeanza kumtengua nani?Hahahahaha watanirogaaaa asubh asubh make nitapanga panguaa kila saa



Basi tumuache apambane na hali yake na cha ubahili wake hayo ni zaidi ya mahabaHahaha sema jirani yangu anampenda binamu hivyo hvyo haijarishi
Huyo huyo atashindana lakini hatashindaaaYupi???mzee wa chura???namuona na harakat zake tu,,
Ungeanza kumtengua nani?![]()
Nikiwa nahitaji msaidizi nitamfikilia
ila Shangazi hata mimi nafaa kuwa msaidizi wa jiwe pia!Nikiwa nahitaji msaidizi nitamfikilia



HahahahahahhahahaNikiwa nahitaji msaidizi nitamfikilia
Ah anko,,ujue nakutegemea kwenye safar yetu ya TA ww na binamu yangu,,,haya mambo tutaongelea kwenye kikao cha ukoo
Hahahhahaahhaa wewe hapana najua utaanza na mimiila Shangazi hata mimi nafaa kuwa msaidizi wa jiwe pia!![]()
Utaamuona keshoAfuu leo simwona jukwaani cjuikaenda wapi
Wewe sitaki hata kukuona hufaiila Shangazi hata mimi nafaa kuwa msaidizi wa jiwe pia!![]()
haha hajui kama mtt tyl ameshakula yaminiHuyo huyo atashindana lakini hatashindaaa
Kabisa mkuu naanza na wewe!!Hahahhahaahhaa wewe hapana najua utaanza na mimi



Asante baba wawili kama hakuna vinywaji vyangu sitakuja halafu umeona mtu anayewapiga vita
Nmemuona shangazi,,ila tayali nmeshamtahadharisha Madame S awe makini
Baba wawili achana na binamu yako kuna mwingine kaongezeka anakupiga vita huyo
Ramli chonganishi!Yupi???mzee wa chura???namuona na harakat zake tu,,

Halijui hiloohaha hajui kama mtt tyl ameshakula yamini
Wewe ndio ramli chonganishiRamli chonganishi!![]()