Binamu mambo?
Poa za wwBinamu mambo?
Mi sijambo Shkamoo Da tumoShikamoooni
Niliwamiss mm
Mtekaji kaniachia eti

nani huyo alokutekaNiliwamiss mm
HahahahaAcheni Kutoka Kimapenzi na Wazee Eti Kisa Wana Hela, Nyie Tokeni Na sisi Vijana Japo Hatuna Hela, Ila Kumbukeni Hatuwezi kutokua na Hela Milele yote.. Tutazipata Tu.
NB: Nimewasemea tu makapuku
Hahahaha...umeanza kufanya ramli chonganishi. Kwa karibu mwaka mzima sasa nasema hela hatujalipwa, korosho wananunua wanajeshi, wametuambia tusubiri tutalipwa. Mimi ni nani nikadai kwa nguvu. Jamani hebu muwe na huruma kidogo basi
Hahahahaha kule ilikuwa tuition tuWouzeeerr wouzeeerrrkwingine ulikuwa unajifunza tu uzoefu baba wawili huniangushi mm
Safi shangaziSiwezi kukuangusha baba wawili amwage mboga tumwage ugali
Hatuwez kukutupa binamu,,...nitawakumbuka tu ila kwa sasa endeleeni kunipa assist za hapa na pale
HahahahaNgojaaaa niishieeee hapo muhim kama umebadilikaa
Nakuona bro,,,ila bado sana hahahaHatimae uchochezi wangu umezaa matunda!!![]()
Hahahaha sawa binamu...wewe ndo ndugu yangu pekee, krismasi ikikaribia nikumbushe unitumie japo gift card