.....najua, ndo maana namtaka maana napenda mtu mwenye uzoefu, sitaki njuka mimi

HahahahahaKumbe ni wewe Jiwe, nilikuwa namtafuta jiwe sasa bahati yangu kumbe ni ndugu kabisa
, watu wanahaha na jiwe kumbe yupo hapa

Jitahidi usinywe maji wala juisi njiani kuepuka ajaliSi mnajua mdau wenu niko kwa road huku South natoka Ntwara naenda Masasi, sasa nimewaza hapa maana nimeona ajali. Nikakumbuka asilimia 22 ya ajali husababishwa na kilevi (DUI) sasa hizi asilimia 78 si husababishwa na wanywa jwisi, soda, fursana, vimto, anjari.
Safari inaendelea, tumevuka hapa Mpowola tuaisaka Njenga, halafu Ndanda kisha nanyooka to Masasi kule aliozaliwa Che BWM, kama kuna mdau yuko Masasi nitakuwa Mkomaindo jioni nitakuwa bar moja maeneo ya sokoni

Habari za jumatatu marafiki
Hahhahah ebu mniacheee jamaniiiHahahahaha![]()
![]()
, watu wanahaha na jiwe kumbe yupo hapa
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahhahah ebu mniacheee jamaniii
Ashindwe tena wakati wewe ndiyo umemwita hapa kwa mbwembwe zote??!Bhasiiii ashindweeeee



HahhahahahShunie wewe ndo unaitwa Jiwe humu?
Hahahaaa nauliza kwa wema tu maana nasoma soma lakini sielewi kinachoendelea..
Niulizie mimi jamani
Pokea kwa mapenzi yote kbsHahhahahah
Ngabu yaani humu natungwa kila aina ya jina yaani wameshanifanya mm jalala lao
Ndio mm jiwe eti mwanzo nilikuwa sielewi kabisa kuja kujua mm ndio jiwe nimebaki nacheka tu
Pokea kwa mapenzi yote kbs
Hhahaahhaha mfyuuuu zako


shangazi hii skukuu uloianza leo unatuvuruga ujueHuyu anakunywaa juis ya miwaView attachment 954234
Wanywa juisi ya Ndimu nao wamo. ?
Mkumbushe aniamkie na asisahau kuniita Shangazi![]()
Sijambo mimi habari ya wewe.?mama hajambo.? Anko Binam wako ana taarifa hiyo.?(kwakua bado tupo ktk sayari nyingine)