Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Akuoneeee rohoo yake iendee kwatuu...Eiiish
Unamwita huyo mzee wa nn tena
Sina naringaaa nina shem lakeee mzunguu
Akuoneeee rohoo yake iendee kwatuu...Eiiish
Unamwita huyo mzee wa nn tena
Nje ya dar NgabuWapi hapo Shualina nije....
Hata mm sijutii jamaniii asante Melo kwa kuanzisha jf jamaniiiHawatojuaaa kamweeeeee...
Shunie wewe ni wa kipekee sijutiii kukufahamuuuuuuu
Ngabu ananipiga madongo nimemkuta uko mmuAkuoneeee rohoo yake iendee kwatuu...
Sina naringaaa nina shem lakeee mzunguu
Hiii imetokaa moyoniiiiHata mm sijutii jamaniii asante Melo kwa kuanzisha jf jamaniii
Bhasiiii ashindweeeeeNgabu ananipiga madongo nimemkuta uko mmu
Moyoniii kabisaaaa yaaani ndani ya moyo wanguHiii imetokaa moyoniiii
NakaziaBhasiiii ashindweeeee
Moyoniii kabisaaaa yaaani ndani ya moyo wangu
Eiiish
Unamwita huyo mzee wa nn tena
Ngabu ananipiga madongo nimemkuta uko mmu
Hakunaa Ngabu cha kuhackiwa wala nn nimekukuta kwenye uzi wa kasie huyo mzee unamtajia mm kaninunia ujue eti bada ya kumtengua sasa sijui alikuwa serious anajua mm mpenzi wake au vipi woiiii kuna mambo yanachekesha mm najua utani kumbe watu wapo serious mambo ya kukulanaID yangu ili hackiwa Shualina.....kweli tena naapia!!
Hahahahhh kwani mzee lazima awe na mviJamani mbona mwanizeesha!
Hata mvi sina mwenzenu.
Mnataka kuninyima nini lakini??
Hakunaa Ngabu cha kuhackiwa wala nn nimekukuta kwenye uzi wa kasie huyo mzee unamtajia mm kaninunia ujue eti bada ya kumtengua sasa sijui alikuwa serious anajua mm mpenzi wake au vipi woiiii kuna mambo yanachekesha mm najua utani kumbe watu wapo serious mambo ya kukulana
Hahaha hamna hajakukasirikia ww mm kabla haujamtania ameshaninunia sababu nimemwambia natengua uteuzi wakeHuh?? What??
Kakasirika nilivyomtania au nawe unanitania tu hapa?
Hahahaaa umenichekesha ujue.
Oh well....ngoja niende Mibbs nikale kitimoto mie!
Hahaha hamna hajakukasirikia ww mm kabla haujamtania ameshaninunia sababu nimemwambia natengua uteuzi wake
Mibbs karibu na kwangu dk 5 tu
Mm sio mpenzi wa kitimoto kabisa ila niKitimoto ya Mibbs si ya sayari hii!
Ahsante mama Nanii....
Mm sio mpenzi wa kitimoto kabisa ila ni
majirani zangu hapo
Ngabu sitakii utani wakooo huyo mtu wako nimeshamtengua sitaki matani nae kumbe yupoo serious acha nimtafute mnyantuzu wangu Wick sijui katekwa na naniiii niliyezoea kutaniana nae
Kununa nuna hovyo napo ni umama akili za Heineken jamaniii tusameheaneni
Asante Ngabu kwa kunielewa jamaniSawa Shualina.
Sikujua mambo yalifikia hatua hiyo.
Peace![]()