Ibrahim Msuya
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 572
- 1,264
Umemfanya nini rais
Umemfanya nini rais
Hahahaa yaani, siku nyingne mtu akaniuliza bibi na babu hawajambo, kumbe mm nikamjibu hawajambi, akanijibu ila wanafanya nn? Ikabidi niangalie text niliomtumia. Nilicheka sana
ulikuwa sahihi kwani uliwahi kuwasikia wakifanya hivyo?Mzuri mwenyeweee![]()
Hujafa hujaumbika
...................
Hahahaa yaani, siku nyingne mtu akaniuliza bibi na babu hawajambo, kumbe mm nikamjibu hawajambi, akanijibu ila wanafanya nn? Ikabidi niangalie text niliomtumia. Nilicheka sana
Hahahaa sanaa.Daaaah kwel hyo amaizn shot...ukaribu wa i na o unaharibu maana sana...
mmmmmh dada vibaya hivyo.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Premary = primary
Sasa we ulifaulu vipi sijui itakuwa wasahishaji walikosea
Ndo najitahidi kutafakari kuwa ilisimamaje hiyo duniaTehe ilisimama au ilielea?
Mzuri mwenyeweee
Hahahaaa sikuwahi, ila hiyo kitu lazima kila mtu afanye![]()
![]()
ulikuwa sahihi kwani uliwahi kuwasikia wakifanya hivyo?
LohChomelea vyuma
![]()
![]()
![]()
...........
hatari saanaDaaaah kwel hyo amaizn shot...ukaribu wa i na o unaharibu maana sana...
Ndo najitahidi kutafakari kuwa ilisimamaje hiyo dunia
Hahahaa sanaa.
Poa Shem habari ya wewe na Mzee?Mambo shem!