lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Hahaa zinatufanya watu tuonekane hatujui kuandika.Keyboard za kisasa tabu tupu....
Hahaa zinatufanya watu tuonekane hatujui kuandika.Keyboard za kisasa tabu tupu....
Chomelea vyumaaiseeee huku neti inasumbua hatatiiii
Kichwa maji atakuwa
Sio unaguna wakati mwenzio anatoa malalamiko [emoji2] [emoji2] [emoji2]mmmmmmh
aiseeee huku neti inasumbua hatatiiii
Mwenye kuipenda kazi yakeMwenye juhudi
............
unaogopa fimbo eeeeeehHahahaa jamani hapo ni typing error tu.
SeenNilirud nyuma kusoma katiba na sheria za huku
Hakuna ruhusa kugusa vyurahahaha hahaha wanafunzi wanaongezeka, amaizing usisahau kuongeza na bakora tafadhar.
Ngoja nikafate kamusi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]In inglish pliiz
Hajui kuitumiaMnunulie laptop[emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umfundishe na lugha pia sio mwandiko tuShem mwandiko tu, vinginevyo hapanaaa[emoji1] [emoji1]
Wewe ni jipu, unatega kazi!Ahsante, unajua tena hizi haraka haraka, unajificha kwa Boss Usionekane uko JF.
Basi atasubiri sanaaaaNdio maana aliutaka urais
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
.................
Kasome post # 3Madamme, Ahsante. Inaonyesha huku kuzuri saaaana. manake sioni mkibanduka. Nihamie? nisihamie?
Hahaa zinatufanya watu tuonekane hatujui kuandika.
SureUalimu ni shidaaaaa
He'll understand.... Slowly
Umepoa sana kijanaPoa kaka
mambo vipi
Inategemea kashinda niniKwani ukishinda lazima upewe zawadi?