xavia jr
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 916
- 1,905
nimemtunuku like kibao wallah.Sio unaguna wakati mwenzio anatoa malalamiko![]()
![]()
![]()
nimemtunuku like kibao wallah.Sio unaguna wakati mwenzio anatoa malalamiko![]()
![]()
![]()
Naona unachapia kipareaiseeee huku neti inasumbua hatatiiii
Yaan, kuna siku mtu alinitumia picha ya kuchefua wakati nakula. Nikamuandika msg mi nakula ujue, kumbe kwake ikafika mi nanuka ujue.Hahahhha unakuta p kule a kule g kule
Na kweli wiiInategemea kashinda nini
Mkuu nashukuru sana....Adje pande hizi Mtumish?Manuu karibu
hahaha ha ha ha paroko bhanaHakuna ruhusa kugusa vyura
Shemeji..Nakusalimu...Na kweli wii
Yaan, kuna siku mtu alinitumia picha ya kuchefua wakati nakula. Nikamuandika msg mi nakula ujue, kumbe kwake ikafika mi nanuka ujue.

Yaan, kuna siku mtu alinitumia picha ya kuchefua wakati nakula. Nikamuandika msg mi nakula ujue, kumbe kwake ikafika mi nanuka ujue.
nakumbuka nilikuwa nasoma premary nilifaul san English kwenda 4rm 1 nilimtafuta mwalim mpaka nikampa zawadi
Mkuu nashukuru sana....Adje pande hizi Mtumish?
mkuuMambo shem!Shemeji..Nakusalimu...
Huyo mtu(r) anatumikia adhabu humu ya:
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE
Tafadhali achana nae(kosa lake lonajulikana)
No shobo
No ufagio
No superstar
Tulishalijadili hivyo potezea
............
Inabidi tu maana hamna namna sasaBore-Bure
Leo nacheza kama faiza foks
Naona unachapia kipare
Kesi iliishaisha
no nimeamua kuandika tu ivo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Premary = primary
Sasa we ulifaulu vipi sijui itakuwa wasahishaji walikosea

Hahahaa yaani, siku nyingne mtu akaniuliza bibi na babu hawajambo, kumbe mm nikamjibu hawajambi, akanijibu ila wanafanya nn? Ikabidi niangalie text niliomtumia. Nilicheka sanaHahhaha wenyewe wanaziiita simu janja...matus yapo nje nje usiposoma kwa makin kabla ya kutuma