Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kama nilizokutunuku weye leonimemtunuku like kibao wallah.
Kama nilizokutunuku weye leonimemtunuku like kibao wallah.
hivyo vistori vyako mmmmmh.Hahahaa sanaa.
Layout ya keyboard ndio shida naonaSjajua ssa ni typing error au layout ya keyboard ndo tatizo
Dada..Mzuri mwenyeweee
Sie tuko poa shemPoa Shem habari ya wewe na Mzee?
Kaka langu hiloMkuu nashukuru sana....Adje pande hizi Mtumish?
Vimefanyajehivyo vistori vyako mmmmmh.
Lazima wamtoe KO![]()
Msukuma akiwa uwanjani
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Kesi iliishaisha
Yupo gerezani
Leta swaga zingine
No shobo
No ufagio
No superstar
................

Hata mbaazi akikosa maua husingizia juano nimeamua kuandika tu ivo![]()
![]()
Dada angu mwenyewe...Kwanza niambie u hali gani asubuh hii ya leo?Kaka langu hilo
We naee mengine uwege unamezea,Umemfanya nini rais
Asante, wife wako alikuwa anatupa somo la mwandiko maana tumezidi sana kuchapia.Nashukuru sana kusikia hivyo Shemeji yangu hata sisi amaizing tupo poa wote...Salaam nyingi kwenu..
Ok saw ngoja niseme nimekosaHata mbaazi akikosa maua husingizia jua
Kweli itatuweka hurummmmmh dada vibaya hivyo.
Kwa hiyo siruhusiwi kuchangia kitu c bora nitoke hukuWe naee mengine uwege unamezea,
Sio lazima kila stori uchangie
Pole sana mkuuArusha barid ni hatari san